Psalms 78:58-60


58 aWakamkasirisha Mungu kwa mahali pao pa juu pa kuabudia miungu,
wakachochea wivu wake kwa sanamu zao.

59 bWakati Mungu alipowasikia, alikasirika sana,
akamkataa Israeli kabisa.

60 cAkaiacha hema ya Shilo,
hema aliyokuwa ameiweka katikati ya wanadamu.
Copyright information for SwhKC